Mama

Anna Paul, Cheche

MALAIKA WANGU USIYENAHATIA YOYOTE
MAGUMU NINAYOPITIA MARA HUKU MARA KULE
MINASHINDWA VUMILIA NA NAUMA PIA
IPO SIKU UTADEKA MWANA
NITABEBA HATA GUNIA PESA NITAKUTAFUTIA
MI NDIO BABA NA NDIO MAMA

MI NAJUA NATAFUTA USIKU NA MCHANA KWAAJILI YAKO
CHONDE USIJE ZINGUA MWANANGU SOMA FAIDA YAKO
OYEYEEE

LOVE TO MAMAMA
LOVE TO MAMAMA
LOVE TO MAMAMA
LOVE TO MAMAMA
INSTRUMENTAL

MUHESHIMU MAMA MAMA
MUNGU WA PILI KATIKA DUNIA
ALIOMBALO MAMA MAMA
NIMAPEMA MUNGU HUMTIMIZIA
MI NAJUA NATAFUTA USIKU NA MCHANA KWAAJILI YAKO
CHONDE USIJE ZINGUA MWANANGU SOMA FAIDA YAKO
OYEYEEE

LOVE TO MAMAMA
LOVE TO MAMAMA
LOVE TO MAMAMA
LOVE TO MAMAMA
AUTRO
HONGERA MAMAA
HONGERA MAMAA
HONGERA MAMAA
HONGERA MAMAA

Wissenswertes über das Lied Mama von Anka

Wer hat das Lied “Mama” von Anka komponiert?
Das Lied “Mama” von Anka wurde von Anna Paul, Cheche komponiert.

Beliebteste Lieder von Anka

Andere Künstler von Electro pop