Energy

Ian Collins Gichero

Fika na geng, tunafika na geng
Utadeadi na negative energy
Kuja na weng, nipate na benz
Ju ka ni ganji tuna legacy

Fika na geng, tunafika na geng
Utadeadi na negative energy
Kuja na weng, nipate na benz
Ju ka ni ganji tuna legacy

Fika na geng, tunafika na geng
Utadeadi na negative energy
Kuja na weng, nipate na benz
Ju ka ni ganji tuna legacy

Fika na geng, tunafika na geng
Utadeadi na negative energy
Kuja na weng, nipate na benz
Ju ka ni ganji tuna legacy

Some guys hungedhani wangefika bei
Ju walishinda kwa korti wamelipa bail
Wakisepa karao ndo wasifike jail
Joh ju rende ni wrong utakua umefail
By the time unafika utakua umefaint
Utashindwa ni ndoto ama fairy tail
But u never know
Just a God flow,for these haters wako na mafolks joh
Mahater maphsyco wanatry their best... mara
6,7,8,9 Ten
For the longest time with ä negative mindset
They never been an item,uko soko na hujaikua highly demanded
Big drip like a pipette,akili plain kama carpet, playing like a cartel
Ka unangori we nipate,nina beef inangoja we leta stock ya mikate
Ka hunipendi we jikate,nina marafiki kadha wako na madeni ka zenu
Mi si don mi si kartel,but form ikidai mi nafly kama latex
Nimefunga beat na macurtain,apa tuko certain
Vice tunacontain national anthem,bend them

Fika na geng, tunafika na geng
Utadeadi na negative energy
Kuja na weng, nipate na benz
Ju ka ni ganji tuna legacy

Fika na geng, tunafika geng
Utadeadi na negative energy
Kuja na weng, nipate na benz
Ju ka ni ganji tuna legacy

Fika na geng, tunafika na geng
Utadeadi na negative energy
Kuja na weng, nipate na benz
Ju ka ni ganji tuna legacy

Fika na geng, tunafika na geng
Utadeadi na negative energy
Kuja na weng, nipate na benz
Ju ka ni ganji tuna legacy

Shawty bado we mono mbona konokono apite kwa tundu ya mkono (Ah)
Keti ukachapiwe advice -ka we ni hater songa ju utaburn price...
Reason ya kupigwa dice ni ju huwezi choma na ubaki na nice eyes
And to your surprise bei ya rice inahyke twice,ukipanda unasideline
Unafika the price na bado unabaki na pride thrice Kama three stripes
Ui maisha ni kuishi vile unataka si pipeline
Ujenzi haiwezi ka bado unafanya kazi na mbogi ya washenzi
Wezi, wanajiitanga walezi crazy ju atuna syc ya
Ubaby
So testing,mass testing testing,tulipima adi mhenga alideadi
Resting,resting cardiac arresting tunawateka wakimedi
Trending,trending ,my G's are trending tunatesa kiwikendi
Mali safi iende chainchain,mali safi izunguke ka moshi fegi

Fika na geng, tunafika na geng
Utadeadi na negative energy
Kuja na weng, nipate na benz
Ju ka ni ganji tuna legacy

Fika na geng, tunafika na geng
Utadeadi na negative energy
Kuja na weng, nipate na benz
Ju ka ni ganji tuna legacy

Fika na geng, tunafika na geng
Utadeadi na negative energy
Kuja na weng, nipate na benz
Ju ka ni ganji tuna legacy

Fika na geng, tunafika na geng
Utadeadi na negative energy
Kuja na weng, nipate na benz
Ju ka ni ganji tuna legacy

Wissenswertes über das Lied Energy von Calamine

Wer hat das Lied “Energy” von Calamine komponiert?
Das Lied “Energy” von Calamine wurde von Ian Collins Gichero komponiert.

Beliebteste Lieder von Calamine

Andere Künstler von Pop rock