Gongo La Mboto

NASSIB ABDUL

Poleni wale usiku hatujalala
Wale mabomu yamewapa madhara
Yalosababisha maafa viro hasara
Poleni sana ndugu zangu
Mpaka sasa hawana pakulala
Watoto bado njaa hawajala
Tuzidishe uda na maombi nyingi sala
Poleni sana ndugu zangu
Poleni wale usiku hatujalala (oh oh)
Wale mabomu yamewapa madhara (ah ah)
Yalosababisha maafa viro hasara
Poleni sana ndugu zangu (Gongo la Mboto)
Mpaka sasa hawana pakulala (eh eh)
Watoto bado njaa hawajala (ah ah)
Tuzidishe uda na maombi nyingi sala
Poleni sana ndugu zangu

Eh, Mola ona wanao tunakwenda
Eh, tunakwenda nakwenda, nakwenda, nakwenda
Kila siku matatizo abba tushike mikono
Walosema idadi ya watu kadhaa
Eti wengine maje raha
Ona wegine wamejifungua masikini moja bado
Shida za maisha si usiku si mchana
Na majanga yanazidi twandama
Huku majukumu yame Tanzania, oh mama
Ah ah ah kuhusu maidha si usinu si mchana
Majanga yanzidi twandama
Huku majukumu yame Tanzania, oh mama iye

Poleni wale usiku hatujalala (Hatujalala)
Wale mabomu yamewapa madhara (Mmh madhara)
Yalosababisha maafa viro hasara
Poleni sana ndugu zangu
(Eiih, Gongo la Mboto)
Mpaka sasa hawana pakulala (Oh, pakulala)
Watoto bado njaa hawajala (Hawajala)
Tuzidishe uda na maombi nyingi sala
(Nyingi sala) poleni sana ndugu sana

Enyi waTanzania wazalendo wa nchii hii
Akuambiaye usikombe mboga siku
Zote anataka ushibe
Nani anasema usiku mmoja hauozeshi nyama
Huyo tumegeukie na kumtazame mara
Mbili maana ametudanganya
Pole nchi yangu, pole Tanzania
Poleni sana Gongo La Mboto
Ingekua hadithi ningesema 'paukwa'
Nikaanza kuwaongopea
Ningekua mwana siasa ningesimama jukwaani
Nakuwaambia nichagueni mimi
Lakini hizi ni roho za watu haya ni maisha
Poleni sana Gongo La Mboto
Ndugu zangu waTanzania
Apasuaye nguo lazima awe fundi wa kushona
Kilichotokea Mbagala siku ile
Watu walizani cinema kule mikoani
Lakini kule Gongo La Mboto
Hakuna aliyekumbuka viatu wala
Kumshika mwanae
Hakuna aliyekumbuka mume wala kumbusu mkewe
Najua Tanzania tunavuma kwa ukarimu na
Upole japokua ni masikini
Lakini uisikia 'puumuuu' ujue kimeshatokew
Gongo La Mboto
Tudhihirishe ukarimu wetu na kuitolea
Gongo La Mboto mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Gongo La Mboto (ibariki)

(Pole) poleni wale usiku hatujalala
(Hatujalala) wale mabomu yamewapa madhara
(Madhara) yalosababisha maafa viro hasara
Poleni sana ndugu zangu (Ndugu zangu)
Mpaka sasa hawana pakulala (Pakulala)
Watoto bado njaa hawajala (Oh, hawajala)
Tuzidishe uda na maombi nyingi sala
Poleni sana ndugu zangu

Yo, Maneke afikishe na pole easy
Na zoafikia kwa nidha kabisa outcomes
Mwambie hilo piti siwele
Sasa tudangya mbele usisahau wana Big Boss
Kasele
It's Diamond Platnumz, baby (President)
Wana niti Raiisi wa Wasafi
(President, President) watanashati
I'm logging out

Wissenswertes über das Lied Gongo La Mboto von Diamond Platnumz

Wann wurde das Lied “Gongo La Mboto” von Diamond Platnumz veröffentlicht?
Das Lied Gongo La Mboto wurde im Jahr 2011, auf dem Album “Lala Salama” veröffentlicht.
Wer hat das Lied “Gongo La Mboto” von Diamond Platnumz komponiert?
Das Lied “Gongo La Mboto” von Diamond Platnumz wurde von NASSIB ABDUL komponiert.

Beliebteste Lieder von Diamond Platnumz

Andere Künstler von Electro pop