Kanyanga

NASIBU ABDUL JUMA ISSAACK, SALIM KARIM

Woo, woiyo ooh woiyo ooh (It's Platnumz)
Woo, woiyo ooh woiyo ooh (Zomnie)

Ati kanyaga ka ana pigo za unafiki
Kanyaga kama mmbeya asiye rafiki
Kanyaga kama fisi ana roho ya usnichi
Hakulishi, hakuvishi kwani vipi?

Kanyaga
Wazee wa shobo kudandia, kanyaga
Klabu kuomba omba bia, kanyaga
Slay queens vitisho vya bandia
Ukivipa hai ati madai vinavimbia

Kanyaga uzushi
Kanyaga mashemu feki
Kanyaga nuksi
Kanyaga udadadeki
Kanyaga mawifi
Kanyaga mpaka ma ex
Kanyaga mikosi (Kanyaga)
Woooya kanyaga

Kanyaga kanyaga
Kanyaga kanyaga
Kanyaga kanyaga
Kanyaga kanyaga

Yii, kanyaga kanyaga kama unalicheza zanku
Kanyaga kanyaga wale wakuda wadaku
Kanyaga kanyaga yeah, kidaku daku
Kanyaga kanyaga wajue hizi namba chafu

Woo, woiyo ooh woiyo ooh
Woo, woiyo ooh woiyo ooh

Ooh yeah eeh
Siku hizi watu wanataka money
So nikimuita aku kosti, Kanyaga
Kunitumia mipicha pigo gani?
Ati basi day nikuposti (oh yeah yeah)

Kadi za harusi kuchanga changa, Kanyaga
Wakati mwenyewe nina majanga, Kanyaga
Sina godoro sina kitanda
Ati nikuchangie kodi kwenda kupanga (yii)

Kama buti la mugambo, Kanyaga
Wavuruga mipango, Kanyaga
Wazee wa Insta michambo
Ati 'baby niunge bando'

Kanyaga uzushi
Kanyaga mashemu feki
Kanyaga nuksi
Kanyaga kudadadeki
Kanyaga mawifi
Kanyaga mpaka ma ex
Kanyaga mikosi (Kanyaga)
Woooya anyaga!

Kanyaga anyaga
Kanyaga kanyaga
Kanyaga kanyaga
Kanyaga kanyaga

Yii, kanyaga! kanyaga kama unalicheza zanku
Kanyaga! kanyaga wale wakuda wadaku
Kanyaga! kanyaga yeah, kidaku daku
Kanyaga! kanyaga wajue hizi namba chafu

I say leeeooo
Usiku hatulali, tunakesha kama popo
Leo, leo
Tena wape na bare, kama wao pakasi kwako

Leeeooo
Usiku hatulali, tunakesha kama popo
Leo, leo
Tena wape na bare, kama wao pakasi kwako

Asa timba, timba timba (timbaaa)
Wanangu timba (timbaaa)
Wao kula kushoto (timbaaa)
Kula kulia (timbaaa)

I say timba, timba timba (timbaaa)
Oyaa wahuni timba (timbaaa)
Kama unazikili (timbaaa)
Mchaka kabisa akili (timbaaa)
Kimya

Wissenswertes über das Lied Kanyanga von Diamond Platnumz

Wer hat das Lied “Kanyanga” von Diamond Platnumz komponiert?
Das Lied “Kanyanga” von Diamond Platnumz wurde von NASIBU ABDUL JUMA ISSAACK, SALIM KARIM komponiert.

Beliebteste Lieder von Diamond Platnumz

Andere Künstler von Electro pop