Mdogo Mdogo

Nimetembea tembea bara na visiwani
Ila nikajionea we ndio my number one
Natamani nikupe ila sina
Nimejaliwa upendo heshima
Maneno yao matamu yasikuibe mama
Si unajua binadamu wabaya sana

Wanawivu hao (hao hao)
Wachonganishi hao (hao hao)
Wanawivu hao (hao hao)
Wachonganishi hao (hao hao)

Usije niacha kwa unyonge nachechemea
Utamu wa finyango na tonge ukanielemea
Usije niacha kwa Unyonge nachechemea
Utamu wa finyango na tonge ukala kwangu
Mwendaazimu kaingiaje
Asije kitorondo

Mwendaazimu kaingiaje
Akanikatia na uhondo
Mwendaazimu kaingiaje
Kitorondo kitorondo eeh
Mwendaazimu kaingiaje
Ikinasa mpaka uondoe
Mwendaazimu kaingiaje
Mwendaazimu kaingiaje
(Ikawa nyumba ya shetani)

Mwendaazimu kaingiaje
Kidogo nikileta Mumypti usinune
Nikumbatie unikiss nijivune
Kesho nizidishe ufanisi nijitumee
Tujenge hadi nyumba Paris wanunee
Vimichezomichezo vya saloon chunga wakipanga
Wasije kukufunza vya uhuni ukawa unadanga

Ukaanza safari
Mchana jua kali
Usiku haulali ayaah
Ukaanza safari
Mchana jua kali
Usiku haulali ayaah

Wanawivu hao (hao hao)
Wachonganishi hao (hao hao)
Wanawivu hao (hao hao)
Wachonganishi hao (hao hao)

Ukaanza safari, mchana juakali, usiku haulali ah yaya.!
Mwendaazimu kaingiaje
Asije akitorondo

Mwendaazimu kaingiaje
Akanikatia na uhondo
Mwendaazimu kaingiaje
Kitorondo Kitorondo eeh
Mwendaazimu kaingiaje
Ikinasa mpaka uondoe
Mwendaazimu kaingiaje
Mwendaazimu kaingiaje
(Ikawa nyumba ya shetani)

Mwendaazimu kaingiaje
Mdogomdogo

Mdogomdogo (isijali mama)
Mdogomdogo (we wacha waongee)
Mdogomdogo (usiku na mchana)
Mdogomdogo (mpaka wanyongee)
Mdogomdogo (na ntakupenda sana)
Mdogomdogo (mahaba ninyongee)
Mdogomdogo (sijali lawama)
Mdogomdogo (acha wanizonge)
Mdogomdogo (kachirikachiri)
Mdogomdogo (kachiri we ngao yangu)
Mdogomdogo (mwenzako taabani)
Mdogomdogo (nilindie roho yangu)
Mdogomdogo (wasije wa furani)
Mdogomdogo (wakaiba tamu yangu)

Mwenda wazimu kaingiaje
Mwenda wazimu kaingiaje
Mwenda wazimu kaingiaje
Mwenda wazimu kaingiaje

Mwenda wazimu kaingiaje (mdogomdogo)
Mwenda wazimu kaingiaje (mdogomdogo)
Mwenda wazimu kaingiaje (mdogomdogo)
Mwenda wazimu kaingiaje (mdogomdogo)

Beliebteste Lieder von Diamond Platnumz

Andere Künstler von Electro pop