Mdogomdogo

Ah Oh nimetembea tembea bara na visiwani
Ila nikajionea we ndio my number one
Natamani nikupe ila sinaa
Nimejaliwa upendo heshimaa
Maneno yao matamu yasikuibe mama
Si unajua binadamu wabaya sana

Wana wivu hao (hao, hao),
Wachonganishi hao (hao, hao)
Wana wivu hao (hao, hao),
Wachonganishi hao (hao, hao)

Usije niacha kwa unyonge nachechemea
Utamu wa finyango na tonge ukanielemea
Usije niacha kwa unyonge nachechemea
Utamu wa finyango na tonge ukala kwangu

Hapa mwendawazimu kaingiaje
Asije kitorondo, mwendawazimu kaingiaje
Akanikatia na uhondo, mwendawazimu kaingiaje
Kitorondo kitorondo, mwendawazimu kaingiaje
Ikinasa mpaka uondoe, mwendawazimu kaingiaje
Ooh kitorondo, mwendawazimu kaingiaje
Akanikatia na uhondo, mwendawazimu kaingiaje
Ikawa nyumba ya shetani, mwendawazimu kaingiaje

Ah kidogo nikileta mamiti usinune
Nikumbatie unikiss nijivune
Kesho nizidishe ufanisi nijitumee
Tujenge hadi nyumba Paris wanunee
Vimichezomichezo vya saloon chunga wakipanga
Wasije kufunza vya uhuni ukawa unadanga Te

Ukaanza safari mchana jua kali,
usiku haulali ayaah
Ukaanza safari mchana jua kali,
usiku haulali ayaah
Wana wivu hao (hao, hao),
wachonganishi hao (hao, hao)
Wana wivu hao (hao, hao),
wachonganishi hao (hao, hao)
Oh ukaanza safari, mchana jua kali,
usiku haulali aayayah

Hapa mwendawazimu kaingiaje
Asije kitorondo, mwendaazimu kaingiaje
Akanikatia na Uhondo, mwendaazimu kaingiaje
Kitorondo kitorondo, mwendaazimu kaingiaje
Ikinasa mpaka uondoe, mwendawazimu kaingiaje
Ooh Kitorondo, mwendaazimu kaingiaje
Akanikatia na uhondo, mwendawazimu kaingiaje
Ikawa nyumba ya shetani, mwendawazimu kaingiaje

Ah nini bwana, kazima mziki? Vipi
Kuna mtu kaibiwa? – Aibiwe wapi bwana wewe?

Asante, toa basi!
Mdogo mdogo usijali mama
Mdogo mdogo we wacha waongee
Mdogo mdogo usiku na mchana
Mdogo mdogo mpaka wanyongee
Mdogo mdogo na ntakupenda sana
Mdogo mdogo mahaba ninyongee
Mdogo mdogo sijali lawama
Mdogo mdogo acha wanizonge
Mdogo mdogo kachirikachiri
Mdogo mdogo kachiri we ngao yangu
Mdogo mdogo mwenzako taabani
Mdogo mdogo nilindie roho yangu
Mdogo mdogo wasije wa furani
Mdogo mdogo wakaiba tamu yangu

Hapa mwendawazimu kaingiaje
Mwendawazimu kaingiaje
Mwendawazimu kaingiaje
Mwendawazimu kaingiaje, mdogo mdogo
Mwendawazimu kaingiaje (mdogomdogo)
Mwendawazimu kaingiaje (mdogomdogo)
Mwendawazimu kaingiaje (mdogomdogo)
Mwendawazimu kaingiaje (mdogomdogo)
Mwendo wa vipara!

Beliebteste Lieder von Diamond Platnumz

Andere Künstler von Electro pop