Natamani

NASSIB ABDULI

Mi kweli natamani sIku iwezekane
Nifumbue macho mi kuona nijue sababu gani
(Ni) Unanipenda sana wakati siwezi mi kuona?
Mi kweli natamani sIku iwezekane
Nifumbue macho mi kuona nijue sababu gani
(Ni) Unanipenda sana wakati siwezi mi kuona?

Mara nyingi peke yangu nawaza
Namuomba Mungu nisije kukwaza
Nikaja kukupa maudhi na nafsi kuichoma chai
Tena usiku mzima nalia darling
Napiga goti kwa Mola nasali
Azidi tupe baraka tusije kosa dona

Eiih mi macho yangu
Nimejaliwa mboni lakini nuru sina
Ningekuwa na uwezo
Ningefanya kazi nikuhudumie upofu wangu
Ndio kikwazo kikubwa, mwenzako raha sina
Lakini unanijali mbali na mengi
Unanipenda sana

Mi kweli natamani (natamani)
SIku iwezekane (iwezekane)
Nifumbue macho mi kuona nijue sababu gani
(Ni) Unanipenda sana wakati siwezi mi kuona?
Mi kweli natamani sIku iwezekane
Nifumbue macho mi kuona nijue sababu gani
(Ni) Unanipenda sana
Wakati siwezi mi kuona? (eiih)

Nasikia kuna rangi ya upendo
Ili upendwe kuna pozi za mwendo
Utanashati, udambu dambu na urembo mi sina
Chai mi natamani nitazame
Kwa ardhi na mbingu nilalame
Nipande mawingu na niiname uwenda nikaona

Eiih mi macho yangu
Nimejaliwa mboni lakini nuru sina
Ningekuwa na uwezo
Ningefanya kazi nikuhudumie upofu wangu
Ndio kikwazo kikubwa, mwenzako raha sina
Lakini unanijali mbali na mengi
Unanipenda sana

Mi kweli natamani (kweli natamni)
SIku iwezekane (iwezekane)
Nifumbue macho mi kuona (hii)
Nijue sababu gani (ni sababu gani)
(Ni) Unanipenda sana (unanipenda sana)
Wakati siwezi mi kuona? (eh eh eh)
Mi kweli natamani (natamani mama)
SIku iwezekane (iwezekane)
Nifumbue macho mi kuona (nikuone)
Nijue sababu gani (eh, eh eh)
(Ni) Unanipenda sana (oh, oh oh)
Wakati siwezi mi kuona?

Eh eh nikuone mama
Niweze tazama eh eh eh eh

Everybody say, eh eh eh eh eh
Eh eh eh eh eh eh eh eh eh eh eh
I love you, nakupenda chai
Eh eh eh eh eh eh eh eh eh eh eh
Eh eh eh eh eh i love you, nakupenda
Tai eh eh eh eh eh (eh eh)
Eh eh eh eh eh eh (oh oh) eh eh eh eh eh
I love you, nakupenda

Wissenswertes über das Lied Natamani von Diamond Platnumz

Wann wurde das Lied “Natamani” von Diamond Platnumz veröffentlicht?
Das Lied Natamani wurde im Jahr 2011, auf dem Album “Lala Salama” veröffentlicht.
Wer hat das Lied “Natamani” von Diamond Platnumz komponiert?
Das Lied “Natamani” von Diamond Platnumz wurde von NASSIB ABDULI komponiert.

Beliebteste Lieder von Diamond Platnumz

Andere Künstler von Electro pop