Overdose

Nasibu Juma

S2kizzy baby
Pendo ni vuruga linii kwangu
Limekua karaha (limekua karaha)
Nacheka nje ila ndani
Moyoni nina majeraha (majeraha)
Mmmhmm
Skuizi hata wanipe kesii kawa mpambe mashine
Yamepungua mapeenzi
Sijui kampata mwingineee

Overdose, overdose
Yashani' overdose (overdose)
Overdose, overdose
Yameni' overdose (overdose)
Ooh, ooh, ooh
Ooh, ooh, ooh

Kitu kidogo lazima tugombanee
Simu zinaomba tuondokeane
Nnajitahidi kujishusha tusikwazanee
Kosa si kosa ataka tuachanee (mmh)
Ndo maana unanionaa mtu wa mnyonge na sononaa
Ilaaa nnajitahidi molaaa
Upendo balaa hata kusoma (mmhmm)
Ooh, skuizi hata haniogeshi
Nnajiogesha mwenyewe
Vya utani hataa hacheki
Nnajichekesha mwenyewe

Overdose, overdose
Yashani' overdose (overdose)
Overdose, overdose
Yameni' overdose (overdose)
Ooh, ooh, ooh
Ooh, ooh, ooh

Wissenswertes über das Lied Overdose von Diamond Platnumz

Wer hat das Lied “Overdose” von Diamond Platnumz komponiert?
Das Lied “Overdose” von Diamond Platnumz wurde von Nasibu Juma komponiert.

Beliebteste Lieder von Diamond Platnumz

Andere Künstler von Electro pop