Mara Ya Mwisho

Godwin peter lerowi

Mara ya mwisho umenipigia Iini?

Ya mwisho umenitumia ah,

Na mwisho unakusudia nini?

Maana inajirudia ah,

Mara ya mwisho kunijulia hali lini?

Hauoni!!

Let me know unakusudia nini,

Maana inajirudia ah

Verse 1 : Dwin

Unadai nimechange,

Fanya uwaibie alafu dai na chenchi,

Cause ukweli hufichwa uongo huanikwa

But i guess every story ends,

Na ulivyo trend umekuwa star ukiondoka wewe tu umeuwa band,

Kipi nifanye? Kwani Kipi sijafanya?

Chukua moyo akili sija'didimia nimezama,

Gave you love nikahisi hunitupi juu hunishushi nini you wanna?,

Ghafla chuki buti simu u-mute nduki jua likizama,

(Mara ya mwisho umenipigia lini) Yeah yeah

simu haziiti, Niko peke'angu imekula kwangu siku haipiti,

Ah yeah, muulize randu muulize 100 naficha kipi?,

Kama sio tungi niko na moshi studio cooking ghetto sipiki

Nabaki jiuliza why?

Maana sio siri unanikosea,

Kipi ambacho ulikihitaji sikukupea,

Cause its better if you lie na uniambie kuwa-

sikuku'care Huku nilipo simu yako nagonjea,

Chorus : kelvine Scapla

Mara ya mwisho umenipigia Iini?

Ya mwisho umenitumia ah,

Na mwisho unakusudia nini?

Maana inajirudia ah,

Mara ya mwisho kunijulia hali lini?

Hauoni!!

Let me know unakusudia nini,

Maana inajirudia ah

Verse 2 : Dwin

Yeah

Najua sijakamilika

hivi ulisita just to let me know,

So nakita speaker just to speak up and to let you know,

We ndo body mi ndo roho

i wont fuckup anymore

So nikiskika jua haya maisha

Baby you coming then you go,

Money aah, Wait nini honey,

I was busy niko mtaani vipi nibaki ndani,

So nitaongea ongea ntarudia

(Ukiskiza)

Umbea umbea utaumia

(Thats right)

Story nyingi kuwa siku hizi mchizi anaotea otea utaskia,

Yeah baaaaw simu haziiti,

Niko peke angu imekula kwangu siku haipiti,

Ah yeah, muulize randu muulize 100 naficha kipi?,

Kama sio tungi niko na moshi studio cooking
ghetto sipiki

Nabaki jiuliza why?

Maana sio siri unanikosea,

Kipi ambacho ulikihitaji sikukupea,

Cause its better if you lie na uniambie kuwa-

sikuku'care Huku nilipo simu yako nagonjea,

Chorus : kelvine Scapla

Mara ya mwisho umenipigia Iini?

Ya mwisho umenitumia ah,

Na mwisho unakusudia nini?

Maana inajirudia ah,

Mara ya mwisho kunijulia hali lini?

Hauoni!!

Let me know unakusudia nini,

Maana inajirudia ah.

Wissenswertes über das Lied Mara Ya Mwisho von Dwin

Wer hat das Lied “Mara Ya Mwisho” von Dwin komponiert?
Das Lied “Mara Ya Mwisho” von Dwin wurde von Godwin peter lerowi komponiert.

Beliebteste Lieder von Dwin

Andere Künstler von Electronic dance music (EDM)