inama

ayolizer
kukudekeza kama mtoto
furaha unafurahia
alafu geuka moto
machozi unalia
mwembamba mwenene

uwe na pesa kama dangote (dangote)
penzi halijali umasikini
laweza penda mtu yoyote
penzi sio somo
ukasome kwa kitabu
penzi limefanya harmonize
afukuzishe mwarabu
penzi oyoyo

limeleta kwa wanangu vita
siku hizi siwaoni
naishia kuwalike insta
hivo asiyekupenda
achana naye
anayekupenda

pendana naye
mambo stress
ya nyumba ndani
ebu cheza ufurahi
kama songi limekolea
asa inama

ebu pinda mgongo (ooh ngo ngo ngo)
oya inama (inama beiby)
basi pinda mgongo (ngo ngo ngo ngo ngo)
asa inama (inama beiby)
ebu pinda mgongo
kama tungi limepoza

oya inama basi pinda mgongo
toujours l'amour e'bandaka na esengo ba bisous ba calins
ba cadeaux, ba je t'aime tout le temps
mawé eleka wapi bébé na nga aza

Beliebteste Lieder von Fally Ipupa

Andere Künstler von Urban pop music