Ruu

Florah Mafupa

Mnh mnh
Ruh weh Ruh weh
Mnh mnh
Ruh weh Ruh weh!

Restless
holding a chek
Tunayo pressure kipenzi
Tunakonda
Nevertheless
We mwenyew haujui
Kinachotufadhaisha

Ukifumba macho mpenzi
Nani ataona?!
Usiposema neno
Nani atasema?!
Na kama hatuwezi
Kusawazisha ya nyuma
Vikasoro kidogo vinatuhangaisha

Penzi letu halina mfano
But baby we're so delicate
ukivuta kamba kidogo ruh we ruh wee
Tunaanguka mi Amor
Naona ka tunamwisho
Ukipotea njia ndo usirudi wee usirudi wee

Mnh mnh
Ruh weh Ruh weh
Mnh mnh
Ruh weh Ruh weh!

No money no games
No patiance no love
Jus hate no verification
Tunagombana, tunabishana
We ruh we! embu punguza hasira
Mapenzi si pesa
Mbona nakuvumilia?
Baby come on
Mi amor
Tusifike huko oh uoh oh uooh!

Ukifumba macho mpenzi
Nani ataona?!
Usiposema neno
Nani atasema?!
Na kama hatuwezi
Kusawazisha ya nyuma
Vikasoro kidogo vinatuhangaisha

Penzi letu halina mfano
But baby we're so delicate
ukivuta kamba kidogo ruh we ruh wee
Tunaanguka mi amor naona ka tuna mwisho
Ukipotea njia ndo usirudi we usirudi we
Mnh mnh
Ruh weh Ruh weh
Mnh mnh
Ruh weh Ruh weh!

Beliebteste Lieder von Fee

Andere Künstler von Alternative rock