Usiniteme
Mapenzi ananiita
Mtoto kaitika
Sio jina lengine
Manirakiza
Shepu ya Twiga
Nikakamatika
Chumbani
Oh!
Kweli Tanganyiaka
Ah!
Unakubalika
Pande zote Africa
Eeh, yeah
Basi nipe love taratibu
Na me nitakuenzi
Wala sintakuumiza
Njoo kwetu Kamenge
Hey babe
Mimi jembe
Usiniteme
Njoo kwetu Kamenge
Hey babe
Mimi jembe
Usiniteme
Njoo kwetu Kamenge
Hey babe
Mimi jembe
Mapenzi yanaumiza roho
Mapenzi yanaumiza moyo
Usinimwage, yeah
Mapеnzi yanaumiza roho
Mapenzi yanaumiza moyo
Usinimwage
Eeh, yеah
Kwa ishara ya mapenzi
Baby, leo roho yangu nakupa
Mmh
Baby kwa roho safi
Ntanyoosha mkono wako
Ntaucukuwa
Basi nipe love taratibu
Na me nitakuenzi
Wala sintakuumiza
Njoo kwetu Kamenge
Hey babe
Mimi jembe
Usiniteme
Njoo kwetu Kamenge
Hey babe
Mimi jembe
Usiniteme
Njoo kwetu Kamenge
Hey babe
Mimi jembe
Ebu njoo
Ebu njoo
Nikutambulishe
Kwa mama Adela
Ebu njoo
Njoo
Welcome kwetu Kamenge
Welcome kwetu Kamenge
Welcome kwetu Kamenge
Welcome kwetu Kamenge
Welcome kwetu Kamenge
Welcome kwetu Kamenge
Welcome kwetu Kamenge
Welcome
Welcome
Welcome
Welcome
Welcome kwetu Kamenge