Kushoto Kulia

Kushoto kulia
Kushoto Kulia (Jeshi)
Kushoto Kulia
Washa tochi ya simu sa tuone mwangaKushoto kulia
Kushoto Kulia
Kushoto Kulia
Kapandisha wazimu analicheza vanga KondeBoy for everybody

My music dey shake your body
Eeh coz I do this for my people
I wanna hear you sing tala lalaKikando kinanigadi
Nafasi naongeza idadi
Saluti kwa wanangu wa ghetto
Segelea Okonga gwala gwala
Wasonipenda kazi wanayo
Eeeh kazi wanayo
Mie sipigi genga pesa ninayo
Eeeh pesa ninayoTunatia chenga wanafuata nyayo
Eeeh wanafuata nyayo
Tunapiga denda wanapiga miayo
Eeeh wanapiga miayoWe kesha kwa waganganga
Mwenzako najichanganganga
Nazisanya faranganganga
Nikipata natumia maduwoteruRuksa nipanganga
Napendaga vicheni vishanganganga
Na uturi wa kanganganga
Hakikisha unanukia

Kushoto kulia
Kushoto Kulia
Kushoto Kulia
Washa tochi ya simu sa tuone mwangaKushoto kulia
Kushoto Kulia
Kushoto Kulia
Kapandisha wazimu analicheza vangaSamina mina eeh eeh

Waka waka eeh eeh
Samina mina eeh eeh
Waka waka eeh eehI say
Samina mina eeh eeh
Waka waka eeh eeh
Samina mina eeh eeh
Waka waka eeh eehWanaotaka shindana na mimi
Hawapati hata sare
Usishangae tattoo na vipini
Ni makonde chalePeace kwa walonileta mjini
Mondi wa Tandale
Maneno majungu tupa chini
Muziki utawaleKama nyapara kafunguliwa pingu wee
Kutwa tunachana mawingu wee
Ameshapanga wewe ni nani upangue
Unajitesa buree(Yii Aga)We kesha kwa waganganga
Mwenzako najichanganganga
Nazisanya faranganganga
Nikipata natumiaKushoto kulia

Kushoto Kulia
Kushoto Kulia
Washa tochi ya simu sa tuone mwangaKushoto kulia
Kushoto Kulia
Kushoto Kulia
Kapandisha wazimu analicheza vangaBonga! Mwambie cheopa

Moto hauzimwi na moto wewe
Hahaha wakiziba kulia
Si tunapita kushotoHahahaha je mama jin
Usicheze na jembe litakulipa
My nigga Jose wa mipango
Konde Gang is for everybody

Beliebteste Lieder von Harmonize

Andere Künstler von Afrobeats