Utamu

MABANTU MABANTU

Unapunguza utamu
Yao yao, unapunguza utamu
Si wanapenda kubang
Unapunguza utamu

Kwa hiji boy ni mhubiri
Wengi tumeshakiri
Ila kamba umechanja siri siri
Unapunguza utamu
Bora ujiri, usinipe hata dili
Kama pigo zako za kamwili
Unapunguza utamu
Acheni machawa waongee
Sio wakiteleza mnawaita mafala
Unapunguza utamu
Na sio lazima uongee
Niko na Briana unaniuliza Kajala
Unapunguza utamu
Oya wanangu wa Dar es Salaam, ehe
Kama vipi ticha afikishe salaam, ehe
Hivi kuna watakaoniponda
Nikiongea na mama aturudishie makonda
Unapunguza utamu


Mpaka kuche tomorrow nimetenda shem nikikuta kigodoro
Unapunguza utamu
Mpaka kuche tomorrow nimetenda shem nikikuta kigodoro
Unapunguza utamu
Waiter leta mole
Unapunguza utamu
Usipoleta mole
Unapunguza utamu
Wenye chuki acha wakonde
Unapunguza utamu
Hili goma la mabantu na teacher konde
Unapunguza utamu
Usipunguze spidi
Unapunguza utamu
Ukipunguza spidi
Unapunguza utamu
Kanyaga weka spidi
Unapunguza utamu
Mpaka mwisho spidi
Unapunguza utamu

Dj ongeza sauti alafu punguza scratch
Hizo mbwembwe zako zinatukataa
Unapunguza utamu
Alafu bosi ka unaagiza agiza crate
Mambo ya kuagizaga moja moja
Unapunguza utamu
Niaje madam kama unanipa we nipe
Sijakataa ukimwi upo ila condom
Unapunguza utamu
Alafu dada kama unakatika kata
Mambo ya kusema nisikubambie
Unapunguza utamu

Utatuambia nini sisi mapopo ehe
Kila siku tunalala kesho ehe
Oya wahuni wote pepo, ehe
Na wadangaji woye pepo, ehe
Bi dada ukifika ghetto ni mizagamuano
Mambo ya kusema subiri baadae
Unapunguza utamu
Kama show piga show zile mambo
Baby unaenjoy au unajisikia aje
Unapunguza utamu
Waiter lata gambe
Unapunguza utamu
Ongeza gambe
Unapunguza utamu
Aaaah, Unapunguza utamu
Gambe, Unapunguza utamu

Usipunguze spidi
Ukipunguza spidi
Unapunguza utamu
Kanyaga weka spidi
Unapunguza utamu
Mpaka mwisho spidi
Unapunguza utamu
Mpaka kuche tomorrow nimetenda shem nikikuta kigodoro
Unapunguza utamu
Mpaka kuche tomorrow nimetenda shem nikikuta kigodoro
Unapunguza utamu

Wissenswertes über das Lied Utamu von Harmonize

Wer hat das Lied “Utamu” von Harmonize komponiert?
Das Lied “Utamu” von Harmonize wurde von MABANTU MABANTU komponiert.

Beliebteste Lieder von Harmonize

Andere Künstler von Afrobeats