JAZA VOCHA

William Said

Yeah... yeah
Ok naanza, nngeanza kitambo if we keep it real
Sema hofu ndo ikanifanya nabana hivi vipapatio
Ayyyee nshaota mbawa 'pimpin kipepeo' , ndo maana ghafla huu ujio
Im just started nafanya interruption, wasanii kibao afu hakuna content
Wabongo tupo content! nikifa one of the best kwenye hii continent..
Mimii.. naiweka Mpwapwa to the world map baby
I studied One, so ntaifanya kivyovyote baby
I studied Q, vina kati mwisho kote im crazy
I studied Chidi, Langa vipi nifoke baby
Tunda la ngwair east zuu ladha za kinyamwezi...
MaFlow ka mtoni, prof akasema huu ubingwa huitaji virutubisho vya haya matone
Jasho, chozi au damu. nacheki sanamu ya mwana wa Adam
Najua uzito wa hiki kikombe acha ninywe.
But you
Do you, do you, do you, you.
Vipi unadhani utaongoza kama utamfata kila mtu
Hauwezi yeah
Hatuinami tunacheki
Juu juu juu juu juu juu juu
Nyakati za mashaka huwa ndo kipimo cha mtu
Sema jaza vocha mcheki Mungu, Yeah
New wave Tanzania me and my niggaz tuna-surf, mradi wa familia how we put in work...
Wahenga tushasikia penye nia pana njia nanuia kuvamia
For what its worth, better or worse!
I studied Kendrick, I studied Drake, i studied Cole. not to front i know my game
I am Legend, son of practice ,copped the daily gains
Nshachoka tu repetition sa nataka break the chain...
FREE WILL!
You know the world is on the turning
Balance- find your balance ,Find your roots au msingi rebuild
Hakuna kwa dunia ambacho hakiwezekani
Mbwana, Hasheem, Naseeb wote wameshareveal...
I'm meant for greatness hapa rappers wanovimba watakandwa
Flow OG zao famba... steady ntafollow my heart nkijua ya kwamba days are numbered
Hapo ulipo kabla ya kifo hakikisha una...
Do you, do you, do you, you.
Vipi unadhani utaongoza kama utamfata kila mtu
Hauwezi
Hatuinami tunacheki
juu juu juu juu juu juu juu
Nyakati za mashaka huwa ndo kipimo cha mtu..
Sema jaza vocha mcheki Mungu.
On my weakest days, i,m like "let us pray
I been digging my own grave with my wicked ways
Always hoping for a change but i act the same
And that's somewhat insane my mates saying I'm playing - NO SHITTT!
Never thought that thats what we could be (you) proposed a motion
THERE IS MORE TO ME! now i'm opposing thee like look at me
Look at them in between a broken bridge...
You like 'BOY YOU CAN FLY', i think 'where are my wings?' "
You got everything provided there comes your job to seek
You sow and then you reap, you know and then you sleep
You grown, aint no room to be told on how to live
Just stop bsing things, go back chasing your dreams
All the step backs and the hezis, there aint buckets you making
Step back! master the basics, don't skip steps young apprentice
Don't you be in a rush, step step cant automate this
But just mind where you stepping, be great you're meant for greatness!
"AMINI"

Wissenswertes über das Lied JAZA VOCHA von Liam

Wer hat das Lied “JAZA VOCHA” von Liam komponiert?
Das Lied “JAZA VOCHA” von Liam wurde von William Said komponiert.

Beliebteste Lieder von Liam

Andere Künstler von Dance pop