Nikupe

William Said

Aya Bana
Nini unachotaka nikupeeee?
Nini unachotaka nikupeeee?
Nini unachotaka nikupe?
Nini unachotaka, nini unacho?

Safi, Yani roho safi na moyo mweupe
Mtafutaji, unachohitaji ukirudi ukikute
Mi mshindani siko nyumbani narusha matufe
Coz providing ndo sifa ya kwanza ya mwanaume
Sitaki uwaze vipi tule, bidi uvae Yani ung'ae Ile kimulimuli
It's your Life but I'mma help you live it to the fullest
Perfect match bae you the hottest, Icy I'm the coolest
ICU crazy for you, vyote ntakupa bure

Nini unachotaka nikupeeee?
Nini unachotaka nikupeeee?
Nini unachotaka nikupeeee?
Nini unachotaka, nini unacho nini unacho?
Nini unachotaka nikupeeee?
Nini unachotaka mi nikupeeee?
Nini unachotaka nikupe?
Nini unachotaka?

Twende mall, fanya manunuzi mpaka unadodosha
What you want? Mdomo sikioni Kisha ukanong'ona
"Let's make love kwenye sofa" only sema mara moja
Neno lako Kama order, I'm your soldier
Got you Babe, you know dat?
Mkunje si amenona? Busu kila kona
Achana na mapazia juu Kwa penthouse nani ataona?
Up under and on her, rolling over and over
Got me standing ten toes up, give you all that
Huuuuhh yeah

Nini unachotaka nikupeeee?
Nini unachotaka nikupeeee?
Nini unachotaka nikupe?
Nini unachotaka, nini unacho nini unacho?
Nini unachotaka nikupeeee?
Nini unachotaka mi nikupeeee?
Nini unachotaka nikupeee?
Nini unachotaka?

Okay nini unachotaka nikupe
Nini unachotaka nikupe
Sema nini unachotaka nikupe
Nini unachotaka nini unachotaka
Nini unachotaka nikupe
Sema nini unakitaka nikupe
Basi sema nini unataka nikupe
Nini unacho yeah yeah
Yeeeeeahhhhh
Yeeeeeahhhhh uh
Yeeeeeahhhhh uh
Yeah nini unachotaka nini uchotaka
Sema nini unachotaka sema nini unachotaka
Nini unachotaka sema nini unachotaka
Nini unachotaka sema nini unachotaka
Nini unachotaka, mi nakupa

Wissenswertes über das Lied Nikupe von Liam

Wer hat das Lied “Nikupe” von Liam komponiert?
Das Lied “Nikupe” von Liam wurde von William Said komponiert.

Beliebteste Lieder von Liam

Andere Künstler von Dance pop