Hazipo

Jay Melody

Yeeeeh aaaah aaah aahhaaaah mmmh
Uzuri wako mashallah na macho yako ndo balaah
Sauti yako noma sana na mwendo wako ndo balaah

Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani
Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani
Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani
Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani

Me hazipo
Hazipooooh
Kwajili yako mwenzio me hazipo baba
Hazipooooh
Akili me hazipo bwana
Hazipooooh
Kwajili yako mwenzio me hazipo baba
Hazipooooh

Ayaaah aaaah eeeh yeeee iyeye iyeye
Stimu nyingi kichwani akili zangu baba aaah aaah sijitamani
Nifikirie Sana aaaah usinipe maruani me moyo
Utaamaa aaah na mashetani yanapenda kwa manaa aaah

Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani
Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani
Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani
Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani

Me hazipo
Hazipooooh
Kwajili yako mwenzio me hazipo baba
Hazipooooh
Akili me hazipo bwana
Hazipooooh
Kwajili yako mwenzio me hazipo baba
Hazipooooh

Takuwa sina bahati ukisema hautaki utauwa Mapigo
Penzi la supu baba ukieka nazi hatari mzigoĂ—2
Takuwa sina bahati ukisema hautaki utauwa Mapigo
Penzi la supu baba ukieka nazi hatari mzigo

Jaribu kuwa smart nipe mahabati tu japo kidogo
Oooh mie wazimu baba kichwani mwangu mwenzio hazipo

Mwenzio mie hazipo
Hazipooooh
Kwajili yako mwenzio me hazipo baba
Hazipooooh
Akili me hazipo bwana
Hazipooooh
Kwajili yako mwenzio me hazipo baba
Hazipooooh oooh yeeah
Hazipooooh ooooh yeeeah
Hazipooooh ooooh oh weeee

Beliebteste Lieder von Nandy

Andere Künstler von Afrobeats