I Miss You (feat. Zuchu)

Hivi bado una hasira
Bado unanichukia
Bado una kinyongo
Moyo wako ulisha zira
Bado unaninunia
Hivi bado una usongo

Kusema bora tuachane
Ndo kauli inayoniuma kila nikikumbuka
Tusitafutane sikujua
Narusha jiwe ndege ukapeperuka
Tusijuane nlisema kwa hasira
Leo ndo najuta usinitukane
Namba yangu nyingine usije futa

Sipendi tuchukiane
Naugua kila nikikumbuka zamani
Sisemi turudiane najua kwako ni
Ngumu haiwezekani
Ila I want to know

I miss you (I miss you baby)
I miss you (ahhhhhahh)
I miss you (nakukumbuka weee)
I miss you (I want to know)
I miss you (nakukumbuka weee)
I miss you (nakukubumka baby)
I miss you (oooooo ioooo)
I miss you (aiya yaaah)
Aaaaaahhh aaahhhhh aaaahhhh
Alisema sele gogo

Penzi ni kama mmea
Hauchepui muhogo
Pale pasipo mbolea
Vilikushinda vidogo
Hata vya kunitetea
Vikaondoka vifijo nderemo zikapotea
Nia ya moyoni mwangu
Wewe ulijaza miba
Nikupe pole mwenzangu
Pengo lako limezibwa

We endelea
Na wafuga kucha akina
Sidika na hudah
Hiriki uzile
Oohh ila tambua utamaliza
Bucha twazidiana
Ukubwa nyama ileile

Sipendi tuchukiane
Japo najua mungu amenilinda na mengi
Na sisemi turudiane
Hilo tambua mie nilipovunja
Sijengi na niliko salama

I miss you (oohh yeeah)
I miss you (we niache)
I miss you (I'm doing just fine)
I miss you
I miss you (I don't miss you no no)
I miss you (no no no no no no)
I miss you (eehh eehh)
I miss you (aaahhh aahh)

Aaaaaahhh
I'm doing just fine
Wasafi

Beliebteste Lieder von Rayvanny

Andere Künstler von Afrobeats