Number One (part. Zuchu)

Rayvanny

macho yalikuona, moyo ukakuchagua
mdomo ukasema nakupenda aah
mwambie umepona alokutesa moyo kuusumbua
maumivu yamekwenda

mi ni zawadi nilopewa
macho nipepese wapi
mi kipofu kwako sioni
penzi limetaratadi, napepewa
harufu ya marashirashi
nikitouch touch shingoni

uvae baibui khanga
viatu vya kuchuchumia kangaroo
kisima tui tanga
we huba nifukizia pambe tu

ukizungushia shanga
inashuka inapanda chini juu
nishatafuna karanga
asa chumba ndo kiwanda watoto tu iye iye

Number one, you're my number one
Number one, you're my only one
Number one, you're my number one
Number one, you're my only one

la la la, la la la
la- la-la uhm

hausukumi damu moyo
unasukuma upendo wangu
niko mahabani mambo sawa
sawa

penzi nalimung'unya kibogoyo
nimepata size yangu
yaani nalioga sio kunawa
na-ah

filimbi nitapuliza
kuita ndege waje
raha zimefululiza
kwako natokaje?

hadi bububu umepitiliza
tuko kwa bibi paje
taratibu unaniliza baba
tulivuruge varanga
chimeneza kunengua kwangaru
nikiandae kitanda
shuka za maua ua ya maroon

kisha tugonge na vianda
mambo ya kujizimua na varu
nifunge upande khanga
babu juma we kwarua kwa kwaru

Oh baby you are my
Number one, you're my number one
(My one and only)
Number one, you're my only one
Baby my (number one)
Baby my (you're my number one)

Ah I oh oh
Number one, you're my only one
penzi limetaratadi, napepewa
harufu ya marashirashi
nikitouch touch shingoni

Beliebteste Lieder von Rayvanny

Andere Künstler von Afrobeats