Sudan (part. Idd Aziz)

William Dorey

Eh Sudani Sudan oh Sudan
Kweli Sudan Ume kosea nini
Wewe ndugu na yule ni dadako
Rangi ni moja na damu ni moja
Vita ni vya nini na yule jirani
Mbona nyinyi nyote mwakoseana

Chuki ya nini na huyu mwenzako
Uache vita kweli is noti good
Wallahi nyie mnatesana
Oh Sudan oh Sudani Sudan
(Oh Sudan)
Wacha vita mama

Eh Sudani Sudan tulia tulia
Usidanganywe na hawa ma Babylon
Ukaanza kumaliza we wenzako
Utajuta vile we utabaki alone

Utalia machozi ya mulala hoi
Shikaneni mikono

Muwe nyote pamoja
Wallahi Wacha vita mama
Tushikane mikono tuwe pamoja

Oh Sudan oh Sudani Sudan
(Oh Sudan)
Wacha vita mama
Sudani Sudan tulia tulia

Wissenswertes über das Lied Sudan (part. Idd Aziz) von Skinshape

Wann wurde das Lied “Sudan (part. Idd Aziz)” von Skinshape veröffentlicht?
Das Lied Sudan (part. Idd Aziz) wurde im Jahr 2020, auf dem Album “Umoja” veröffentlicht.
Wer hat das Lied “Sudan (part. Idd Aziz)” von Skinshape komponiert?
Das Lied “Sudan (part. Idd Aziz)” von Skinshape wurde von William Dorey komponiert.

Beliebteste Lieder von Skinshape

Andere Künstler von Alternativrock