Design

Otieno Owuor

Pumped up, get ready to bump up the boombox
Suba ndani ya nyumba
I'm pumped up, get ready to bump up the boombox
Suba ndani ya nyumba
Haina pressure, Tuko fine kila time ya calendar
Hio ndio design, ndio vile inatubeba
Hio ndio design, ndio vile inatubeba
Haina pressure, Tuko fine kila time ya calendar
Hio ndio design, ndio vile inatubeba
Hio ndio design, ndio vile inatubeba
Acha nibuss my verse, walinipa nafas nika surpass by far
Ulichelewa class ndio mana radar isha kuchanganyisha acha kubangaiza
Shada ishawashwa jamaa asha iva, nakaa high kwa sky kama maasai dance
Kaa asside ka huna style, I'm nicer, nishaimada hii track, nishaimada hii track
Hawa ma backbiter, running their mouth wakinitaja hii mtaa
Niki come around wanaikanyagia, wananyamazisha, wananyamazisha
Eyesight ime blurr, ka kite nime take flight, ghai niko far
Saa hii niko mars, shairi kwa bars
Bless kalamu ndio niwrite kwenye stars
Haina pressure, Tuko fine kila time ya calendar
Hio ndio design, ndio vile inatubeba
Hio ndio design, ndio vile inatubeba
Haina pressure, Tuko fine kila time ya calendar
Hio ndio design, ndio vile inatubeba
Hio ndio design, ndio vile inatubeba
Acha nibuss verse two, nacome through nikisha organise my crew
Undo hawa watu kama one times two
Usi try kuvaa my shoe
Yes I do wako anadai Suba, vunja mifupa, tafuna
Eveready ka battery ya pakapower, chafua hawa itabidi wame have a shower
Skiza kipawa, hard work and long hours
Sijui kwanini muna hate tuki chase ours
Msemakweli aseme ukweli, kizungu ilikuja na meli
Ain't no telling what I might do
Lainisha pipeline kama paipu
Winning is mine, so mbona umejileta?
Hio ndio design, ndio vile najibeba
Ah
Haina pressure, Tuko fine kila time ya calendar
Hio ndio design, ndio vile inatubeba
Hio ndio design, ndio vile inatubeba
Haina pressure, Tuko fine kila time ya calendar
Hio ndio design, ndio vile inatubeba
Hio ndio design, ndio vile inatubeba
I'm pumped up, get ready to bump up the boombox
Suba ndani ya nyumba
Pumped up, get ready to bump up the boombox
Suba ndani ya nyumba
I'm pumped up, get ready to bump up the boombox
Suba ndani ya nyumba
Pumped up, get ready to bump up the boombox
Suba ndani ya nyumba

Beliebteste Lieder von Suba

Andere Künstler von Downtempo