Fika Bei

Si hufika bei (si hufika bei)
Si hufika bei (si hufika bei)
Si hufika ei ei (si hufika bei)
Si hufika bei (si hufika bei)

Ka ni mzinga (si hufika bei)
Kama ni ma G bag (si hufika bei)
Ka ni wasupa (si hufika bei)
Ka ni manganya (si ufika bei)

Kama ni picha ( si ufike bei)
Unaomba feature (si ufike bei)
Mbona unagwaya (si ufike bei)
Kwani Huna haya (si ufike bei, si ufike bei)

Tangu nipate maganji ei
ccha niwaambie tena
Tangu nipate maganji
Kama ni bei me ninafika
Nina wasupa ka 30 huko thika
Huniita nyuki design nashika mzinga
Ndo nmefika
Ei ei na form imejipa

Hapa ukicheza unapigwa kibare kwa face
Mind your face
Mbona unamess?
Mbona unaclout chase
Vile na run kwa beat utadhani me Murife
Back stage manzi yako anafirwa

Buda usipite hii line, chunga hapa utakang'wa
Hapa ruhusa huombwa
Pia verse inalipiwa
Hapa adi poko anashonwa
Manzi yako unagongewa

Si hufika bei (si hufika bei)
Si hufika bei (si hufika bei)
Si hufika ei ei (si hufika bei)
Si hufika bei (si hufika bei)

Ka ni mzinga (si hufika bei)
Kama ni ma G bag (si hufika bei)
Ka ni wasupa (si hufika bei)
Ka ni manganya (si ufika bei)

Kama ni picha ( si ufike bei)
Unaomba feature (si ufike bei)
Mbona unagwaya (si ufike bei)
Kwani Huna haya (si ufike bei, si ufike bei)

Tuko tipsy na whysky, tunafeel tu mavitu
Siko mtaaa, minafeel tu kusety
Minacount, count tu manoti
Bless hii mzinga misidai tu maombi
Niko jogging,jogging,jogging,jogging
Vile nimestep in,step in,step in,step in
Msupa hunidai,minna ndae na mamali
Kanapenda piga ace na mafanky
Nimejipin na mremboo,mremboo,mremboo
Nimejipin na makikoo!,kikoo!,kikoo!
Ndani ya discoo!,discoo!,discoo!
Men pulai maisa,one day!utakuja tu kuisha
Sipendi mavedi mapediii!,
Niwashenzi nawapiga tu maediiii

Si hufika bei (si hufika bei)
Si hufika bei (si hufika bei)
Si hufika ei ei (si hufika bei)
Si hufika bei (si hufika bei)

Ka ni mzinga (si hufika bei)
Kama ni ma G bag (si hufika bei)
Ka ni wasupa (si hufika bei)
Ka ni manganya (si ufika bei)

Kama ni picha ( si ufike bei)
Unaomba feature (si ufike bei)
Mbona unagwaya (si ufike bei)
Kwani Huna haya (si ufike bei, si ufike bei)

Sophisticated ei
My nigga I graduated
I'm overated ei
They wanna confiscate me

I got the recipe
Monday to Sunday
I'm on the mission
Nigga we rule the streets
Edge to edge we confidante ah

I'm on the run shinning so hard wanaona giza (wanaona giza)
Nina maganji me naspend mkifuliza (mkifuliza)
Grinding so hard day all night mmelalisha (mmelalisha)
Nasaka ganji vile inafaa mkichachisha ( yeaah)

Nigga ima shoot
Nigga ima shoot
If about the cash
Your bitch a douche
Chasing my bag
Making the moves
Switching lanes
Breaking the rules
Me hufika bei

Beliebteste Lieder von TOPAZ

Andere Künstler von Rock'n'roll