Unfollow

Vanessa Mdee

I saw you like her picture
What about me unamfata mpaka twitter
Now we know what it's gon be
I saw you like her picture yeah
What about me yeah yeah
Kama hakuna cha kuficha
Why don't you get out off her insta

Unanikera kera kera kera kera yeah
Unavyopenya penya kwa peji zake
Unanikera kera kera kera yeh e e eh
Unavyopenya penya kwa peji zake

Heeey yeaah

Macho yanatamani unfollow
Moyo unatamani unfollow
Anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani
Macho yanatamani unfollow
Moyo unatamani unfollow
Anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani

First of all I'm the baddest kwenye peji yake
Don't know what the hell, you're looking for??
Au labda shepu yake lipsy macho yake pengine umedata na dimples
Hata level zangu huwezi kucompea na level za kwake ni simpo
Baby please won't you hear me. if you know that you need me

Unanikera kera kera kera kera yeah
Unavyopenya penya kwa peji zake
Unanikera kera kera kera yeah e e eh
Unavyopenya penya kwa peji zake

Heeey Yeaah

Macho yanatamani unfollow
Moyo unatamani unfollow
Anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani
Macho yanatamani unfollow
Moyo unatamani unfollow
Anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani

Kama mi nakufaa naomba usimfuate
Taratibu atakukaa imani ikutoke
Kama mi nakufaa naomba usimfuate
Taratibu atakuakaa imani itoke

Macho yanatamani unfollow
Moyo unatamani unfollow
Anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani

Macho yanatamani unfollow
Moyo unatamani unfollow
Anajua mi napata nini ndio maana anapost picha zake za ndani

Unfollow
Unfollow
Unfollow
Unfollow

Beliebteste Lieder von Vanessa Mdee

Andere Künstler von Contemporary R&B