One Day

Ungelikua wazi mwanzo
Imani yangu kwako mwanzoo
Na siwezi jilaumu kwa chanzoo
Kilichofanya nitazame upande mwingine eeh

Unajua mapenzi ya dhati nilikosa
Moyoni nikateswa na vidonda
Naelewa bila we me siwezi ishi
Ila inabidi nijiforce
Baby one day (one day)

You always tell me one day (one day)
Tell me one day(one day)
You gonna be with me baby
You always tell me one day (one day)

Tell me one day (one day)
You always tell me one day
Utakua na mimi mpenzi
You always tell me one day
Ananipa kile nnachopenda
Yulee
Nimempa nafasi ili niwe wake

Mmmhhh
Tena huna lolote la kufanya
Tule buree
Kwenye ngome mfalme ndo ye
Tatizo hukuonyesha ata tone furaha
Ulidhamiria kupata hilo jeraha
Usinihukumuu
Usinilaumuu
Unajua mapenzi ya dhati nilikosa
Moyoni nikateswa na vidonda
Naelewa bila we me cwezi ishi
Ila inabidi nijiforce

Baby one day (one day)
You always tell me one day(one day)
Tell me one day (one day)
You gonna be with me baby
You always tell me one day (one day)
Baby one day (one day)
Tell me one day (one day)
Utakua nami mpenzi

Beliebteste Lieder von Nandy

Andere Künstler von Afrobeats