Attention!
VERSE 1
Melody
Nimezikutanisha;
Nobody
Can ever tisha sisi;
Narudi uwanjani nakuta vijana wameluze malingala;
Wengine nao wanatisha ma og na kumbe ni ushamba;
Vipi humo humo
Wasafi wako wapi si wale watafuta Kiki?
Badili mtazamo
Rudisha muziki uwache vituko vya abunwasi
CHORUS
Walisababisha mambo
Twawapa onyo;
Wakabingirisha tone
Naja na bonge;
Hatuwaoni; Wamezama nini? X2
Wako wapi! Aah
VERSE 2
One of a kind
Da people whose loving haiwezi retire;
Na mioyo yao
Imejengwa na material designer
Wengine nao wabandikwa majina kwa chezo la kitanda;
Urembo wa kizazi kipya kuuza maradhi kwa vitanda;
Wafalme wa kweli wawapi ama wana, tafuta kiki?
Regesha heshima kwa muziki
Jamaa, tuwache chuki
CHORUS
Walisababisha mambo
Twawapa onyo;
Wakabingirisha tone
Naja na bonge;
Hatuwaoni; Wamezama nini? X2
Wako wapi! Aah