Here I Am
DON SANTO
Song: Here I AM
Artist: Don Santo
Genre: Kalpop
Album: Am BLACK
VERSE 1
Here I am
Ijapo majaribu yananitisha
Siogopi maana waniepusha
Yote chini yakiisha
Bwana watosha ah
Wanitisha na baraka na adhabu
You’re the first
And the end
Hubadiliki tangu siku za babu
》
I hear you call
CHORUS
Kwako moyo umechizi nilinde
Here I AM
Na siabudu tena Mungu mwengine
》
Here I AM X2