Shoe Fits
STANZA ONE
What is sauce for the goose, Sauce for the gander
A meet a gudda people and the feeling ni cool
What is good for the mind
It is good for the soul
Ijapokuwa ngumu isikize moyo
Siasa pararira wakitafuta watuu
Wakipata wanatamba na machopper na maRover
Watoto wa watu wanapigwa teargas
Nonono teargas! Tcha! Tcha! Tcha! Teargas
Harambee
Harambee
Beyond the ghetto
I see you cry
Whatever you do
Stay alive!
CHORUS
Whoever the shoe fits
Let them adorn with x2
STANZA TWO
Siasa pararira wakitongoza watuu
Wakipata kura wanahepa na ma sista duu
Mshahara wa walimu wanakwenda nazo bar
Na zile za wagonjwa piga selfi na kahaba
Oh nana nana na eh!
Stand up for your right
Oh nana nana na eh!
Stand up for your right
Siasa pararira wakitafuta ni favour
Wakipata wanatamba na machopper na maRover
Msaada wa kigeni wanakwenda nazo bar
Badala ya ujenzi wanaposti kwenye insta
Beyond the ghetto
I see you cry
Whatever you do
Stay alive!
CHORUS
Whoever the shoe fits
Let them adorn with x2