Athman Wangara Khamis

Blame It On Don

I dedicate this Kalpop song to my friend, a mentor, and my maternal uncle, #AthmanWangaraKhamis. May the good Lord grant you all the desires of your heart forever and ever amen
_____________________________________________

Papa Santo; the one and only
Papa Santo;
The Badman Killa mia mia!

STANZA ONE (0:14)
Omwami OCB;
Sioni mfano wako kamwe;
We ndio busy bee;
Hukosi kwa kila boma;
Msaada unawapa...
Athman Wangara;
Kipenzi cha watu wote bane;
Huna maringo;
Hukosi kwa kila jiji;
Upendo unawapa...
And (Around you x7) is always fun (fun) (haha);

CHORUS (0:53)
Show them how to be free!
Waone utu wema
Teach us how to be free!
Tuwe mfano mwema

STANZA TWO (1:13)
Kuna ushuhuda tosha kwa maendeleo
Tajriba una sifa toka jana hadi leo
Omwana wa Hamisi Boyi you got my attention
Sholi nende ubaguzi you got affection
How are you?
How is home?
Huchoki kuyauliza
Chair Matungu constituency;
Mwandishi wa “Bwana Ugali.”
And (Around you x7) is always fun (fun) (haha);

CHORUS (1:50)
Show them how to be free!
Waone utu wema
Teach us how to be free!
Tuwe mfano mwema

STANZA THREE (2:10)
||||: There ain’t many kind :||||
Klassik Nation twende lote
DUNDA NA KALPOP!
Osibisa, twende lo~te
DUNDA NA KALPOP!
Oh mama, twende lo~te
DUNDA NA KALPOP!
Kingpheezle, twende lo~te
DUNDA NA KALPOP!
Nairobi city...
DUNDA NA KALPOP!
Kule Matungu, Kakamega, Aaah salamu kwenu
DUNDA NA KALPOP!

CHORUS (0:53)
Show them how to be free!
Waone utu wema
Teach us how to be free!
Tuwe mfano mwema

OUTRO
The Wangaras, twende lote!
DUNDA NA KALPOP!
OH ye thou Klassikans, twende lo~te!
DUNDA NA KALPOP!

Sha! Rhhhh
Ahaaa kabisa
DON SANTO natuma salamu kwake Athman Wangara Khamis
Mheshimwa aliye tosha, mheshimiwa mtarajiwa!

Wissenswertes über das Lied Athman Wangara Khamis von DON SANTO

Wann wurde das Lied “Athman Wangara Khamis” von DON SANTO veröffentlicht?
Das Lied Athman Wangara Khamis wurde im Jahr 2022, auf dem Album “DEFINITION OF THE BADMAN KILLA 1” veröffentlicht.
Wer hat das Lied “Athman Wangara Khamis” von DON SANTO komponiert?
Das Lied “Athman Wangara Khamis” von DON SANTO wurde von Blame It On Don komponiert.

Beliebteste Lieder von DON SANTO

Andere Künstler von