NIFUNDISHE
Drums and voices is a new Kalpop expression that I have found to heal stress and anxiety. Listen to this to feel relaxed
STANZA 1:
Usinambie, kwa namba za huzuni;
Life is but an empty dream!
Kwani, nafsi ilolala ni hayati;
And things are not what they seem
Bila shaka utasimama;
Mumea ulopandwa kwa mto
Siku yako itafika;
Majani mabichi utalazwa
Kuwa na roho, moyo, sura kama simba;
Ipige moyo konde ufwate mwito
CHORUS:
Nifundishe! Niongoze!
Kukujua wewe hekima Baba!
Would you be my guide my Father Lord
STANZA 2:
Waweza kuwa, yeyote unayependa;
Bora uwe mwaminifu kwa Rabana
There’s no shame! Dontchu fear my friend;
Hakuna dhambi hawezi ifuta
Bila shaka una neema;
Mumea ulopandwa kwa mto;
Kama mlima sing’oki;
Majani mabichi hunilaza
Kuwa na ujanja, ari, macho kama tai;
Kuwa nayo nayo, sako kwa bako
CHORUS
Nifundishe! Niongoze!
Kukujua wewe hekima Baba!
Would you be my guide my Father Lord